2022
DOI: 10.51317/eajk.v2i1.105
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Namna Matumizi ya Mikakati ya Kutafsiri, Kama Uteuzi Na Mpangilio WA Maneno, Ilivyochangia katika Uandishi Upya WA BukuitNe Tilil

Abstract: Utafiti huu ulidhamiria Kupambanua namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, ilivyochangia katika uandishi upya wa BukuitNe Tilil. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili, ambazo ni nadharia ya tafsiri vitendo ambayo ilitumika kubaini jinsi tofauti za kimazingira kati ya hadhira ya matini asilia na ya matini pokezi ilivyopelekea uandishi upya kufanyika wakati wa kutafsiri. Nadharia ya pili ni ya ulinganifu, ambapo matini asilia ililinganishwa na matini pokezi ili kubaini kama ujumbe ulihifadhiwa katika m… Show more

Help me understand this report

This publication either has no citations yet, or we are still processing them

Set email alert for when this publication receives citations?

See others like this or search for similar articles