2022
DOI: 10.58721/jkal.v1i1.94
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Mabadiliko Ya Kimaana Katika Methali Za Kijinsia: Mifano Kutoka Jamii Ya Wanyankole

Abstract: Makala hii inachunguza mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Lengo kuu la makala hii ni kubaini athari ya mabadiliko katika jamii katika ufasiri wa maana na matumizi ya methali za kijinsia miongoni mwa Wanyankole nchini Uganda. Mbinu za mahojiano zilitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti huu ulihusisha methali kumi na tano za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Uteuzi huo ulifanywa kimaksudi kwa sababu utafiti ulilenga kuchanganua methali zilizohusu jinsia za kike na… Show more

Help me understand this report

This publication either has no citations yet, or we are still processing them

Set email alert for when this publication receives citations?

See others like this or search for similar articles