2024
DOI: 10.4314/jclfkt.v4i4.5
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Usawiri wa taswira za ngono katika nyimbo za Bongofleva: mifano kutoka nyimbo teule za WCB

Christopher B. Lucas

Abstract: Nyimbo hizi huakisi masuala mbalimbali katika jamii. Ngono ni suala mojawapo ambalo huakisiwa katika nyimbo za Bongofleva. Aidha, suala la ngono katika jamii za Kiafrika huchukuliwa kuwa jambo la siri na si la kusema hadharani. Hali hii imewafanya wasanii wa Bongofleva kutumia taswira katika kusawiri masuala ya ngono. Hata hivyo, taswira za ngono zinazotumika katika nyimbo za Bongofleva bado hazijulikani kwa sababu hazijatafitiwa na kuwekwa wazi. Kwa hiyo, makala hii imelenga kuchunguza jinsi taswira mbalimbal… Show more

Help me understand this report

Search citation statements

Order By: Relevance

Paper Sections

Select...

Citation Types

0
0
0

Publication Types

Select...

Relationship

0
0

Authors

Journals

citations
Cited by 0 publications
references
References 5 publications
0
0
0
Order By: Relevance

No citations

Set email alert for when this publication receives citations?