2022
DOI: 10.56279/jk.v85i1.11
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Uchangamani wa Muundo wa Majina ya Watu: Mifano kutoka Lugha ya Kihaya

Abstract: Makala hii inaangazia muundo wa majina ya watu yanayotokana na lugha ya Kihaya. Mjadala kuhusu muundo wa majina hayo unaongozwa na madai kwamba majina ya pekee si nomino halisi (Coates, 2006). Makala hii inalishughulikia suala hili kwa mkabala wa kimofolojia ili kubainisha wazi muundo wa majina tajwa. Data ya makala hii ilikusanywa kwa njia ya usaili kutoka Wilaya ya Bukoba Vijijini, mkoani Kagera. Matokeo yanaonesha kwamba majina ya watu ni vipashio vyenye muundo changamani ambavyo vikirejelewa kama nomino ki… Show more

Help me understand this report

This publication either has no citations yet, or we are still processing them

Set email alert for when this publication receives citations?

See others like this or search for similar articles