Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya
Ann Wambui Gitau,
Eric W. Wamalwa,
Stanley Adika Kevogo
Abstract:Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msi… Show more
Set email alert for when this publication receives citations?
scite is a Brooklyn-based organization that helps researchers better discover and understand research articles through Smart Citations–citations that display the context of the citation and describe whether the article provides supporting or contrasting evidence. scite is used by students and researchers from around the world and is funded in part by the National Science Foundation and the National Institute on Drug Abuse of the National Institutes of Health.