Abstract:Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania. Baadhi ya wataalamu (taz. Nyangaywa, 2013; Madila, 2020) wanaeleza kwamba uteuzi wa majina ya watu nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto ya kasumba ya kupendelea majina ya lugha za kigeni kuliko majina ya lugha za asili. Pamoja na kudokezwa kwa suala hilo, tafiti husika hazikujishughulisha na uchunguzi zaidi kuhusu kuweka bayana kiwango cha matumizi ya majina husika na changamoto zinazotokana na matumizi ya maj… Show more
scite is a Brooklyn-based organization that helps researchers better discover and understand research articles through Smart Citations–citations that display the context of the citation and describe whether the article provides supporting or contrasting evidence. scite is used by students and researchers from around the world and is funded in part by the National Science Foundation and the National Institute on Drug Abuse of the National Institutes of Health.